Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.

<br />
<br />
jamani hebu tuelimike kama wenzetu majuu, timu inaweza kudorora kwa sababu za kiufundi na si migogoro wala vinginexo,tatizo la yanga ni usajiri mbovu wa magazetini ma majeruhi