B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,393
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi nyingine hata huko ulaya.
Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio Aucho tungewambia mapema wangesusia ligi 😂😂😂
Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio Aucho tungewambia mapema wangesusia ligi 😂😂😂