Wenye chama chetu (Yanga) roho nyeupe,kumtupia vilago kocha( ndumilakuwili) wetu,Simba ohoo,ni kocha mzuri,mwanzilishi wa Yanga,Kocha msomi!Kama msomi si akafundishe vijana huko chuo.kikuu(awafundishe kucheza mpira)
Hahahahaaa,kwa taarifa yenu hata Meneja pamoja na kapteni wa timu yetu ikithibitika pasi na shaka kuwa wanatusaliti nao tunawatimua!Kocha gani kila tukicheza na Simba anapanga kikosi dhaifu,tena golini hampangi hata golikipa?Kocha gani kuajiliwa aajiliwe na Yanga mshahara apate pia toka Simba?