Yanga wadai Manula na mwamuzi wa leo wafungiwe

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Nimekaa hapa na mashabiki wa Tasaf fc wanalia kwa uchungu wakidai Aishi manula afungiwe kwa kitendo chake cha kuingia uwanjani kushangilia goal ilihali alikuwa benchi
Ninawasihi TFF wakubaliane nao hawa ombaomba kumfungia manula na refa kwa muda wa mwaka mmoja kwa makosa makubwa waliyofanya leo, tulipiga hadi simu kule kwa papaa zahera yaani Congo na kuuliza kama inakubalika wakasema haikubaliki huku wakitucheka sana
Namsubiri papaaa zahera afafanue kiundani matukio ya leo nina hakika kwenye mateams makubwa ya ulaya aliyofundisha kama vile PSG hajawahi ona kitendo kama cha manula au dakika kuongezwa 7 za nyongeza,kaja kuyaona Tanzania tu hata kule ku congo kuko byeee sana

manula.PNG
 
Duuuuuhhh kazi ipo
Vyura Fc
Chuki Fc
Tasaf Fc
Upofu Fc
Gongowazi Fc
Mbute Mbute Fc
Maandamano Fc
Malalamiko Fc
Mwaka wa tabu Fc
Mafuriko Fc
Kuogelea Fc
Nyani haoni Fc
Njaa kali Fc
Sonona Fc
Kamwene Fc
Hasira hasara Fc
Vugu vugu Fc
Uchawi Fc
Pangu pakavu Fc
Kauka nikuvae Fc
Midomo mirefu Fc
Shadeeya Fc
Na mengine mengi tu
Mbumbu kwenye ubora wenu.
 
Mikia fc oyeee! Mbumbumbu fc oyeee! mbeleko fc oyee! khamsa khamsa fc oyeee! tff fc oyee! wahindi fc oyee! underdog fc oyee! waamuzi fc oyee!
 
Duuuuuhhh kazi ipo
Vyura Fc
Chuki Fc
Tasaf Fc
Upofu Fc
Gongowazi Fc
Mbute Mbute Fc
Maandamano Fc
Malalamiko Fc
Mwaka wa tabu Fc
Mafuriko Fc
Kuogelea Fc
Nyani haoni Fc
Njaa kali Fc
Sonona Fc
Kamwene Fc
Hasira hasara Fc
Vugu vugu Fc
Uchawi Fc
Pangu pakavu Fc
Kauka nikuvae Fc
Midomo mirefu Fc
Shadeeya Fc
Na mengine mengi tu
Alubadili fc
 
Back
Top Bottom