Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,702
- 32,276
Baba atabaki baba na mtoto atabaki kuwa mtoto.ila mtoto akikuwa atakuja itwa baba lakin kamwe baba hawez kuludia utoto.Kandambili lazime afe leo.
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya kuna baridi sana....kwa hiyo hali si nzur kwa team zote. nmekaa sehemu maridadi kabisa niweze kuangalia pambano hili lenye upinzan mkubwa sana.sijafahamu kwa nini lakin week hii nzima limekuwa gumzo. hapa naona washabik wa MCC wanaingia kwa makundi na jersey za team yao. na pia nawaona Yanga mmoja mmoja wakiingia.
ninayewaletea Live update ni mimi mwanajamii mwenzenu Chizi Maarifa aka Mti Mkavuhauchimbwi Dawa. tutazidi kupashana habari za mchezo huu
Mbeya City ni hao waliovaa jezzy za Majilio, au Kwaresma.....
Tuwekeeni kikoc hapa...