YANGA Vs COASTAL UNION

Kaka sasa hivi dakika zilizobakia ndio zile zisizoruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama....
Hizo ni enzi za Umitashumta na Umiseta

ha ha ha ha!!ilikuwa enzi zipi mkuu!!!maana kuna zile enzi golikipa akifungwa goli la kupita kati ya miguu tulikuwa tuna hesabu mawili!!!
 
Mpira umekwishaaaa

Yanga 1 - 1 Coastal Union

Wafungaji
Jerry Tegete (Yanga)
Abdi Banda (Coastal)
 
goooooooooooooooooooooooo kumbe mpira umeisha bana..
 
Kaka sasa hivi dakika zilizobakia ndio zile zisizoruhusu hata kuku kumeza punje ya mtama....
Hizo ni enzi za Umitashumta na Umiseta

toolittle to late dude wamejitahidi cusc kwa kudroo mzunguko wa pili..
 
TFF wabadilishe kanuni mei 18 Simba watupigie saluti.!!
 
Hahaha akishika nafasi hiyo si automatikale yupo ligi daraja la kwanza ngazi ya mkoa...



Na ndiko wanakoelekea libolo imeleta maafa makubwa ktk ligi yetu
 
Kosa la Kado ni kilee kipigo cha 5-0, kipigo hicho hicho kimemweka kando Yaw Berko.
Mkuu hizo tano Kado anahusikaje tena? maana langoni alikuwepo Yaw Berko kipindi cha kwanza na kipindi cha pili alicheza Said Mohamed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…