Mpira umeisha Yanga 3 African Lyon 1
Kwa matokeo haya ni kwamba Simba wana ponti sawa na Yanga ila yanga anaongoza kwa goal difference ya 1(Simba kafunga magoli 36 na kafungwa magoli 15,goal difference ni 36-15=21,Yanga wamefunga magoli 29 na wamefungwa magoli 07,goal difference ni 29-07=22).Hivyo tofauti ya magoli ni 22-21=01
Bingwa ataamuliwa katika mechi za mwisho ambapo Simba itacheza na Majimaji na Yanga itacheza na Toto Africans
Mkuu wangu CPU....Hayo maelezo niliyoyatoa hapo juu sio yangu,ni kwa mujibu wa Afisa habari wa TFF Boniface Wambura ambaye alikuwa akihojiwa na Jesse John na Chacha Maginga wa TBC Taifa wakati wa mapumziko ya mechi ya Yanga vs African Lyon na ndiye aliyekokotoa na kutoa goal difference ya moja(kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu ya VodaCom) na akasema endapo Yanga itashinda mechi ya leo kwa idadi ya magoli zaidi ya 2 itakuwa imeizidi Simba kwa uwiano huo wa magoli ya kufunga na yale ya kufungwa..............Ndiyo maana baada ya mechi hii Yanga inaongoza kwa goal difference ya 1

Hivyo basi Yanga anafikisha point 46, magoli 29 ya kufunga na 7 ya kufungwa, goal difference = 22
Simba nae ana point 46, magoli 36 ya kufunga, 16 ya kufungwa, goal difference = 20
...........Masikini mnyama...mwaka wa hasara!!
Tatizo bado wanaiwazia TP Mazembe
Waliingia uwanjani jana wakiwa bado wanawaza "KUITOA TP MAZEMBE" ktk mechi ya tatu itakayochezwa kule CAF