sawa, lkn je ile mechi ya ngonrongoro heroes na somalia jana, mbona matokeo siyaoni kwenye vyombo vya habari online? unaweza kuwa mnyenyekevu ukanihabarisha juu ya matokeo yale pia, ewe senator?
Yanga ndio wamefanya mashambulizi ya uhakika kama mara 3 hivi, Simba mara 2 na Yanga wanamiliki sana mpira na wanaelekea kushinda mechi hii, defence ya Simba iko nyanya sana tusubiri kipindi cha pili.