senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Aug 18, 2010 #21 Nimeiona hiyo G Publisher kuwa pweza kala kwenye bakuli la simba kwa hiyo leo jangwani ni kilio tu!!
Pengo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2009 Posts 579 Reaction score 10 Aug 18, 2010 #22 Lakini huyo pweza PAUL wamempata wapi wakati anaishi German?
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Aug 18, 2010 #23 ole wenu simba afungwe sisi na nyie
Tonge JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 695 Reaction score 12 Aug 18, 2010 #24 Hiii ni photo shop tu hakuna lolote hapo.
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,759 Reaction score 6,851 Aug 18, 2010 #25 Tonge said: Hiii ni photo shop tu hakuna lolote hapo. Click to expand... KUNA MOJA YA CHADEMA NA CCM....KUMBE NAYO PHOTOSHOP..........!kumbe haina maana
Tonge said: Hiii ni photo shop tu hakuna lolote hapo. Click to expand... KUNA MOJA YA CHADEMA NA CCM....KUMBE NAYO PHOTOSHOP..........!kumbe haina maana
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Aug 18, 2010 #26 Sasa wadau mlijua ukweli!?! ...Simba wapo juu na watashinda tu manta hofu
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Aug 18, 2010 #27 Jamani tupeni updates...
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 Aug 18, 2010 #28 Crashwise said: Jamani tupeni updates... Click to expand... Pweza kashatua Msimbazi!! Anapata msosi pale!:welcome:
Crashwise said: Jamani tupeni updates... Click to expand... Pweza kashatua Msimbazi!! Anapata msosi pale!:welcome:
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Aug 18, 2010 #29 Mechi inaanza saa 10 jioni bado kijana matokeo yatakuwa kinyume cha utabiri feki wa huyu Pweza... http://api.ning.com/files/nMKvm17Ss...iYi*ca79T6UUDRcd*9TAm/Simbadume.jpg?width=600
Mechi inaanza saa 10 jioni bado kijana matokeo yatakuwa kinyume cha utabiri feki wa huyu Pweza... http://api.ning.com/files/nMKvm17Ss...iYi*ca79T6UUDRcd*9TAm/Simbadume.jpg?width=600
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Aug 18, 2010 #30 Wabongo kwa kupenda kuiga hatujambo.Hiyo ni photoshop bwana hakuna lolote apo.
RedDevil JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 2,367 Reaction score 1,524 Aug 18, 2010 #31 Mfunyukuzi said: Mechi inaanza saa 10 jioni bado kijana matokeo yatakuwa kinyume cha utabiri feki wa huyu Pweza... http://api.ning.com/files/nMKvm17Ss...iYi*ca79T6UUDRcd*9TAm/Simbadume.jpg?width=600 Click to expand... Wala siyo pweza sijui chura yule jamani! naona msimbazi wameamua kutumia chura kutabiri. Yanga 3 - Simba 0
Mfunyukuzi said: Mechi inaanza saa 10 jioni bado kijana matokeo yatakuwa kinyume cha utabiri feki wa huyu Pweza... http://api.ning.com/files/nMKvm17Ss...iYi*ca79T6UUDRcd*9TAm/Simbadume.jpg?width=600 Click to expand... Wala siyo pweza sijui chura yule jamani! naona msimbazi wameamua kutumia chura kutabiri. Yanga 3 - Simba 0
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Aug 18, 2010 #32 Asprin said: Pweza kashatua Msimbazi!! Anapata msosi pale!:welcome: Click to expand... asije akawa sheikh yahaya....teh teh
Asprin said: Pweza kashatua Msimbazi!! Anapata msosi pale!:welcome: Click to expand... asije akawa sheikh yahaya....teh teh
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Aug 18, 2010 #33 Mnyama lete raha leo
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Aug 18, 2010 #34 Go Go Yanga ushindi kwetu leo .
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Aug 18, 2010 #35 Yanga juu ka spain vile.
Pengo JF-Expert Member Joined Oct 15, 2009 Posts 579 Reaction score 10 Aug 18, 2010 #36 Yanga imetangulia kuingia uwanjani
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Aug 18, 2010 #37 Pengo plz endelea kutu update na uwe fair hata kama timu yako imefungwa
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Aug 18, 2010 #38 Simba ilishamlipia mahari Yanga.....................
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Aug 18, 2010 #39 Pengo said: Yanga imetangulia kuingia uwanjani Click to expand... Wachezaji wameruka ukuta au kawaida? mana mechi hizi hazikosi vimbwanga!!
Pengo said: Yanga imetangulia kuingia uwanjani Click to expand... Wachezaji wameruka ukuta au kawaida? mana mechi hizi hazikosi vimbwanga!!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Aug 18, 2010 #40 mlio uwanjani tunaomba muendelee kutupa update kama mnazotoa kwenye world cup.. mida hii wengine hatuwezi kuangalia
mlio uwanjani tunaomba muendelee kutupa update kama mnazotoa kwenye world cup.. mida hii wengine hatuwezi kuangalia