Wajipange msimu ujao kwasababu 1. Wachezaji walishindwa kumzongo refa akaangalie VAR ya mchongo km wafanyavyo waarabu .2. barua walioiandika inamapungufu mengi mojawajo haijasainiwaKatika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.
Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili tukio linakuzwa sana kupita uhalisia.
Yaani hilo tukio linavyo ongelewa utadhani ni tukio la kwanza na halijawahi kutokea tangu mpira wa miguu uwepo hapa duniani.
Kwanza tukio hilo sio tukio la kwanza lenye utata na wala halitakuwa tukio mwisho lenye utata kweywe mpira wa miguu ,matukio yenye utata kwenye soka ni mengi sana duniani kote ikiwemo Tz ,na moja wapo ya wanufaika wakubwa wa maamuzi ya hovyo ya marefa ndani ya nchi hii ni nyinyi wenyewe Yanga.
Yanga songeni mbele mgange yajayo na mjipange msimu ujao acheni ushamba , kama ambavyo Mamelod alivyo nufaika na nyinyi kuumizwa na maamuzi mabovu ya marefa ,ndivyo na nyinyi mmekuwa mkinufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na kuziumiza timu nyingine hasa hapa kwenye ligi yetu.
Acheni kukuza mambo kana kwamba nyinyi ni watakatifu sana na kana kwamba nyinyi timu yenu haijawahi kunufaika na makosa ya waamuzi.
Hapa duniani kila timu ilisha nufaika na kuumizwa na maamuzi yenye utata wa waamuzi nyinyi sio wa kwanza na wala hamtakuwa wa mwisho.
Refa wa mechi ya Yanga na NamungoKuwa na aibu! Nitajie tukio lingine hapa duniani ambapo refa anaenda kuangaliaa VAR ili kuipa redcard timu moja, halafu timu hiyo hiyo inapofunga goli lenye utata, anagoma kwenda kuangalia VAR. Ukinitajia, najitoa JF.
This is a very serious crime! Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF! Kuna haja gani sasa ya kushiriki hayo mashindano kama washindi wameshapangwa?!
Swadaktaa !!Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa.
Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili tukio linakuzwa sana kupita uhalisia.
Yaani hilo tukio linavyo ongelewa utadhani ni tukio la kwanza na halijawahi kutokea tangu mpira wa miguu uwepo hapa duniani.
Kwanza tukio hilo sio tukio la kwanza lenye utata na wala halitakuwa tukio mwisho lenye utata kweywe mpira wa miguu ,matukio yenye utata kwenye soka ni mengi sana duniani kote ikiwemo Tz ,na moja wapo ya wanufaika wakubwa wa maamuzi ya hovyo ya marefa ndani ya nchi hii ni nyinyi wenyewe Yanga.
Yanga songeni mbele mgange yajayo na mjipange msimu ujao acheni ushamba , kama ambavyo Mamelod alivyo nufaika na nyinyi kuumizwa na maamuzi mabovu ya marefa ,ndivyo na nyinyi mmekuwa mkinufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na kuziumiza timu nyingine hasa hapa kwenye ligi yetu.
Acheni kukuza mambo kana kwamba nyinyi ni watakatifu sana na kana kwamba nyinyi timu yenu haijawahi kunufaika na makosa ya waamuzi.
Hapa duniani kila timu ilisha nufaika na kuumizwa na maamuzi yenye utata wa waamuzi nyinyi sio wa kwanza na wala hamtakuwa wa mwisho.
Nyinyi ndo mnatakiwa kuwa na aibu maana hata nyinyi ni wanufaika wakubwa wa maamuzi mabovu ya refa.Kuwa na aibu! Nitajie tukio lingine hapa duniani ambapo refa anaenda kuangaliaa VAR ili kuipa redcard timu moja, halafu timu hiyo hiyo inapofunga goli lenye utata, anagoma kwenda kuangalia VAR. Ukinitajia, najitoa JF.
This is a very serious crime! Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF! Kuna haja gani sasa ya kushiriki hayo mashindano kama washindi wameshapangwa?!
Hakukuwa na haja ya kuandika hata hiyo barua maana na wao ni wanufaika wakubwa wa maamuzi mabovu ya marefa.Wajipange msimu ujao kwasababu 1. Wachezaji walishindwa kumzongo rrefa akaangalie VAR ya mchongo km wafanyavyo waarabu .2. barua walioiandika inamapungufu mengi mojawajo haijasainiwa
Kwani Simba umemsikia analalamika?View attachment 2956170huo ushauri wapelekee Simba... Acha kupangia watu vitu vya kufanya.
Mechi ya Simba na Orlando Pirates refa alienda kuangalia VAR kwenye Faulo ya Mugalu,lkn mechi hiyo hiyo Simba alifunga clear goli refa akalikataa goli na akagoma kuangalia VAR,utopoloni a.k.a Mwakarobo Jnr a k.a MALALAMIJO FC acheni hizo nyie sie exceptional mnataka mpira wacheze wengine Kwa kuchezewa robo uwanja mechi zote mbili,halafu mnapata wapi uhalali legitimacy ya kulilia kupelekwa nusu Fainali kimiujiza Kwa goli feki.Kuwa na aibu! Nitajie tukio lingine hapa duniani ambapo refa anaenda kuangaliaa VAR ili kuipa redcard timu moja, halafu timu hiyo hiyo inapofunga goli lenye utata, anagoma kwenda kuangalia VAR. Ukinitajia, najitoa JF.
This is a very serious crime! Jambo kama hili linatosha kuifannya nchi kujivua uanachama wa CAF! Kuna haja gani sasa ya kushiriki hayo mashindano kama washindi wameshapangwa?!