Yanga sio ya Taifa si ulisema Hansi ?

Hans Poppe -mmepata kocha? Fuatilia masuala hayo badala ya masuala ya Yanga.

Kila siku anamwaga pumba tu. Inaelekea akili imeharika kukaa sana gerezani akitumikia kifungo cha uhaini.
 
Wakuu mbona povu sana, walio wafunga ni Mazembe sio simba naona mnatokwa povu, tulieni dawa iingie vizur.

hahaaaaa wakimataifaaaa komaeni mtuletee kombe la kimataifa
 
Wakuu mbona povu sana, walio wafunga ni Mazembe sio simba naona mnatokwa povu, tulieni dawa iingie vizur.

hahaaaaa wakimataifaaaa komaeni mtuletee kombe la kimataifa
Kabla ya kuitaka Yanga ikuletee kombe (ambayo sio timu unayoshabikia) ungetuambia hiyo Simba yako(unayoshabikia) imeshawahi kukuletea hilo kombe la kimataifa ???
 
Kabla ya kuitaka Yanga ikuletee kombe (ambayo sio timu unayoshabikia) ungetuambia hiyo Simba yako(unayoshabikia) imeshawahi kukuletea hilo kombe la kimataifa ???
Mkuu simba itaketaje kombe wakati ni ya matopeni. tunawategemea ninyi wa kimataifa.

vipi mkuu mbona unaonekana kukata ramaa mapema wakati mashindano ndo kwanza yanaanza?
 
Mkuu simba itaketaje kombe wakati ni ya matopeni. tunawategemea ninyi wa kimataifa.

vipi mkuu mbona unaonekana kukata ramaa mapema wakati mashindano ndo kwanza yanaanza?
Kwahiyo nyinyi ni wakutegemea,hamtaki kutegemewa ???
 
ndiyo mkuu ninyi tunaowategemea ndo tunawasubir pale airport na kikombe.

mkuu usikate tamaa bado chance ipo ya kushinda
Ila ni aibu kwa mtu uliyetimia viungo vya mwili,una macho,miguu,mikono,pua akili na kila kitu alichonacho mwenzako nawe unavyo kisha umtegemee, wewe unaonaje hilo haliwatii aibu ??
 
Kwakua mnatuita wamatopeni,tunataka kuona vya kimataifa lakini kumbe sebene hamwezi! HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA.
 
e64b18341edd90f24bc78b110d198a00.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom