Yanga sio mtani wa jadi

Mambo ya Simba na Yanga kama huujui undani wa timu hizi ni afadhali kunyamaza Ndugu yangu...Hivi Ndugu yangu unafikiri kwanini makomandoo wa timu hizi mbili kuhakikisha kuwa 'wanalinda' uwanja siku mbili hivi kabla ya mechi na wakati wa mechi?? unadhani ni masuala au hofu ya vitendo vya ushirikiana peke yake?? Hizi timu usizichezee kabisa...kuna mambo mazito yanafanyika na ambayo ukiambiwa utashangaa...ukizubaa wakati wa halftime wenzako wanakuwahi...Hivi unadhani marefarii huwa wanachezesha fair kwenye timu hizi dhidi ya timu nyingine kwenye ligi kuu??..Chunguza Simba ya sasa inapocheza na timu nyingine za ligi na kama unaujua mpira vizuri utaweza kugundua tatizo lipo wapi...Unadhani kwanini mchezaji wa timu anafanya faulo ya kijinga ya redcard na kutolewa??? Mpira ni fitina ..na hii siyo Tanzania tu bali ni dunia nzima...mkubwa katika soka ana element ya upendeleo kwa asilimia fulani...
Haya mambo yanafanyika kwa sababu uwanja unaotumika ni mmoja. Kesho Simba au yanga ikimiliki uwanja wake unafikiri kunakomandoo wa Simba au yanga ataenda kulinda uwanja wa mwenzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?
Yanga inaweweseka kwa sasa. Mpira umewashinda sasa wanaimba ngonjera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ni watu wa hovyo
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?
 
Serikali ya washamba ..ndio maana mambo yanaenda kishambashamba...Bashite kaimaliza Yanga ..unampa mtu kesi 13 anapangua zote..hakuna cha TFF Mikia wala nini?Yanga haina hela ya kusajili quality players..mbona wakati wa Rage Yanga wamechukua kombe Mara nyingi tu...
 
Hivi kwenye mechi ya simba na yanga kuna shabiki au kiongozi wa team mojawapo anayeweza kuingia kwenye chumba cha team pinzani nakupulizia dawa? Uwanja wa wa taifa ni neutral ground zikucheza simba na yanga kwenye tuhuma za simba kupulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo imekuwaje simba ikapulizia kwa yanga?
Aaaaaah Nusr et
 
Back
Top Bottom