Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Kuna mzazi kazalishwa Pacha 3Aisee kumetokea nini leo kwani? Maana kuna wimbo mmoja matata wa Juma Kassim Nature unapigwa.
Mwenye kujua kilichotokea aniambie Aiseee
Haya bana Mtani.Habari ya asubuhi mtani,umeamkaje haaaaaa haaaaaa
Aiseeee ni yule CHURA?
Wamepanua mara kimoja! Nikajua wamechoka! Haa, wakapanua tena, Kagera wakaingiza! Bado Tu wakapanua mara ya 3 wakaingizwa lingine!Yanga goli moja hawaridhikagi mpaka mbili au tatu sasa wamekutana na wahaya wamewapiga katerero +ndizi na senene za vukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote wewe umekaliaTAIFA AKUFAI
VIONGOZVIONGOZI WANALALAMIKIWA KILA KONA KUKUBALI DILI LA MZUNGU KUJA YANGA NA KUMWONDOA MKWASA
YANGU MACHO
KAGERA ANAONGOZA MBILI
Aiseeee ni yule CHURA?
Pongezi kwake kwa kujifungua mapacha, ni kitambo sasa alikuwa akisaka watoto, hatimaye Mungu kamuona.
Hawakwenda na matokeo..Hawa walilala na matokeo kwenye godoro la GSM
Pole sana Aiseee huyu Kagera hana huruma kabisa.Uzuri wa yanga hata ikifungwa hakuna tajiri anaesusa susa kama mtoto wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa yanga hata ikifungwa hakuna tajiri anaesusa susa kama mtoto wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa yanga hata ikifungwa hakuna tajiri anaesusa susa kama mtoto wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa yanga hata ikifungwa hakuna tajiri anaesusa susa kama mtoto wa kike
Sent using Jamii Forums mobile app