Team yetu pendwa ya Yanga ina tatizo la kukata pumzi kuazia dakika 70+ hivi na hii sio leo tu ni mara nyingi.
Natamani kocha alione hili mapema sana na awape mazoezi ya pumzi wachezaji.
Golikipa pia anashida kidogo huyu.
I hope watafanyia kazi mapungufu waliyo yaona kwenye match hii