HATA SUDAN MLISEMA MNAENDA KUPINDUA MEZAJe nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi
Nawaona club africain wakioga mvua ya magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi
Nawaona Club Africain wakioga mvua ya magoli
===
Mchezo huu wa kwanza wa kutafuta mafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.