Yanga SC tayari imeshafungwa na Mbu huko Gaborone nchini Botswana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa hili lililotokaea jana huko nchini Botswana nimeanza kuwaelewa.

Yaani Kiongozi mzima tena wa juu ndani ya msafara wa Klabu ya Yanga ulioenda katika mechi yake ya marudiano dhidi ya Township Rollers FC ya nchini Botswana bila hata haya kama siyo aibu anaanza kuleta ' visingizio ' kuwa kama Yanga SC itafungwa ( japo wenye akili tumeshajua kuwa wameshatolewa ) basi sababu kubwa itakuwa ni uwingi wa Mbu waliowakuta huko.

Hivi jamani tukiacha ' Unafiki ' kuna Klabu ambayo hapa Tanzania inafuga Mbu wengi katika Mabwawa yake mawili moja la ndani ya Uwanja wa Kaunda na lingine nje ya Uwanja eneo ' twamishi ' la Jagwani kama ya Yanga SC? Hivi tukisema kwamba huenda hata hao Mbu wenyewe wanaolalamikiwa na Yanga SC wametoka nao huku huku Kaunda Stadium wa walikuwa wamejihifadhi tu katika Mabegi ya Wachezaji wa Yanga SC na hasa hasa la Chirwa, Ajib na Yondani na waliobaki walijificha katika ' mtumbo ' mkubwa wa Kocha wao Lwandamina tutakuwa tunakosea?

Natamani kweli niwajue na niwaone hao Mbu ' mahiri ' wa Gaborone nchini Botswana.

Nawasilisha.
 
Huwa najiuliza sana ni kwanini baadhi ya Watu hupenda Kuuliza kwamba hivi ni nani ameturoga Sisi Watanzania na nikawa hadi nahisi kuwa pengine hao Watu walikuwa tu wanawasingia Watanzania ila kwa hili lililotokaea jana huko nchini Botswana nimeanza kuwaelewa.

Yaani Kiongozi mzima tena wa juu ndani ya msafara wa Klabu ya Yanga ulioenda katika mechi yake ya marudiano dhidi ya Township Rollers FC ya nchini Botswana bila hata haya kama siyo aibu anaanza kuleta ' visingizio ' kuwa kama Yanga SC itafungwa ( japo wenye akili tumeshajua kuwa wameshatolewa ) basi sababu kubwa itakuwa ni uwingi wa Mbu waliowakuta huko.

Hivi jamani tukiacha ' Unafiki ' kuna Klabu ambayo hapa Tanzania inafuga Mbu wengi katika Mabwawa yake mawili moja la ndani ya Uwanja wa Kaunda na lingine nje ya Uwanja eneo ' twamishi ' la Jagwani kama ya Yanga SC? Hivi tukisema kwamba huenda hata hao Mbu wenyewe wanaolalamikiwa na Yanga SC wametoka nao huku huku Kaunda Stadium wa walikuwa wamejihifadhi tu katika Mabegi ya Wachezaji wa Yanga SC na hasa hasa la Chirwa, Ajib na Yondani na waliobaki walijificha katika ' mtumbo ' mkubwa wa Kocha wao Lwandamina?

Mbona Yanga itasonga mbele kiulaini tu. Mpira tushaucheza kwa babu
 
Ha ha ha hah yaani nimecheka mpaka nimesahau nilitaka nicomment nini
 
Back
Top Bottom