Ha ha ha ha. Eti walisema kwamba watatukuta njiani, mwisho wa mbio tuliwaacha kwa pointi kede kede huku wakiambulia vumbi tu na kupigania nafasi ya pili na Azam FCHahaha.. Naona mshaanza kutafuta sababu mapema.
Baada ya msimu uliopita kutokuhangaika na mechi dhidi ya mfalme wa nyika.. Mlifikia wapi harakati zenu za ubingwa?
Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.Simba huwa hawana akili na ni mambumbumbu kama Rage anavyowaita...!!! Hakuna logic hakua points maandishi yamebebwa na MATAMNIO ya nafsi yake ya yanga ifungweinapokuauw
kwa mfano ligi ikiisha leo, nani bingwa?.... Yanga bingwa na mechi moja mkononi.. Yanga wa kimataifa levo zake ni TP Mazembe.. Zamalek...Simba levo zake ni Njombe mjiHahaha.. Naona mshaanza kutafuta sababu mapema.
Baada ya msimu uliopita kutokuhangaika na mechi dhidi ya mfalme wa nyika.. Mlifikia wapi harakati zenu za ubingwa?
Malinzi kaongoza TFF miaka tuuu yanga ni wa kihistoria hata kabla ya Malinzi kuzaliwa..!! Mfano yanga kaifunika simba misimu minane 8 sawa na miaka 16 maana msimu mmoja miaka miwili hapa malinzi alikuwa Bukoba.. Hebu tafuta mwingineMalinzi aliwabeba sana kipindi hicho.
Kufungwa na Mbao ni moja ya mafanikio ya Simba sasa.Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.
mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??Mkuu ulichokiandika hakina logic hakina points, maandishi yako yamebebwa na CHUKI na GERE dhidi ya mafanikio aliyonayo Simba SC kwa sasa.
Msimu ujao kipindi Simba SC akipambana na hao mabingwa wenzake.. Ninyi mtakua jamuhuri stadium mkipambana na Moro kids kuwania kombe la FAkwa mfano ligi ikiisha leo, nani bingwa?.... Yanga bingwa na mechi moja mkononi.. Yanga wa kimataifa levo zake ni TP Mazembe.. Zamalek...Simba levo zake ni Njombe mji
Hivi unajua umekutana na mbao Mara ngapi na amekufunga Mara ngapiKufungwa na Mbao ni moja ya mafanikio ya Simba sasa.
Mbona Yanga waliitwa Wapumbavu na Mapopoma na Katibu Mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye kipindi kile cha michuano ya Kagame mkafungiwa.Simba huwa hawana akili na ni mambumbumbu kama Rage anavyowaita...!!! Hakuna logic hakua points maandishi yamebebwa na MATAMNIO ya nafsi yake ya yanga ifungwe inapokuwa tofauti ndio na mawazo ya ki,, s, e. Nge haya.
Msimu uliopita Simba SC alichukua makombe 2.. Msimu kaanza na ngao ya hisani.. Pia msimu huu tunashiriki michuano ya klabu bingwa barani Africa.. Haya ni ya kwetu..mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??
Hapa ni tunazumgumzia tatizo linaloisumbua nchi yetu.. RUSHWAAA.ALAFU SIMBA USHINDI WA YANGA UNAWAHUSU NINI MPAKA MSHINDWE KULA NA KUKIMBILIA JF KUANZISHA UZI...?????? NYIE TIMU YENU PIA C IMESHINDA HUWA MNAWASHWA WASHWA BILA KUITAJA YANGA KAMA KAKA ENU MINARA...????
Yaonyesha wewe kida katika soka. Simba amefika Nusu Fainali Klabu Bingwa Barani Afrika.mafanikio aliyonayo simba kwa mfano ni yapi labla anachoizidi yanga...??? Au kukopeshwa hela na uyo muhindi mafanikio...??
Shida yenu MNA ghubu na wivu wa kike. Mtapata shida sanaNi kweli Mkuu.. Sisi wengine tunapambana dk 90, kwa nguvu na akili nyingi na tunatoka na ushindi wa kihalali lakini kwenu ni mambo ya Rose Muhando. Ila si mbaya 30/09 tutakata ngebe zenu.