OKW BOBAN SUNZU
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 32,028
- 2,000
Hii mechi huwa naiangalia kila siku nikifanya utafiti wa kina kuona kama Yanga alinunuliwa!
Kwa kuwa Yanga mpo humu mtuambie mlikula bei gani kama walivyokula Al Ahl, Azam, Lipuli, Stand?
Ila tuache utani Meddie Kagere anaudhi,anakufunga halafu anakufanyia masikhara. Oooh mama tetema,tipwa tipwa tetema