Yanga tatu kfc 1
Dakika ya ngapi
Dk 8.0
Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano timu ya mpira kuigeuza kuwa bendi ya muziki,iendelee kutoa burudani lakini kwa style nyingine?





na nyoshi afanyeje sasa
Mnataka na kocha huyu wamtimue kesho?Hawa KMC wanaanza nyuma vizuri sana wakifika mbele kama hawajui cha kufanya wanaishia kupoteza mipira tu
Very frustrating
Uto wamebahatisha hicho kigoli.
Kumbe mkuu hauna matokeo bhnaCha tatu au cha pili?



Sio kama,bali anawatafutia goli uo ndo ukweli.Refa kama anawatafutia uto goli