Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
MATOKEO ya suluhu katika mechi ya Simba na Azam FC leo hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam yameipa fursa kubwa zaidi Yanga kutetea ubingwa wake wa Tanzania Bara kwani sasa inahitaji pointi 6 tu ili kutwaa ubingwa, FikraPevuinaripoti.
Yanga ilifikisha pointi 65 jana baada ya kuifunga Toto Africa mabao 2-1 jijini Mwanza na ilikuwa inasikilizia matokeo ya mechi ya leo ili kuona changamoto ikoje.
Hata hivyo, matokeo ya mechi hiyo pekee ya Ligi Kuu iliyochezwa leo yanaifanya Yanga iongoze kwa tofauti ya pointi sita dhidi ya Azam inayoshika nafasi ...
Kwa habari zaidi, soma hapa=> Yanga sasa yahitaji pointi 6 tu baada ya sare ya Simba vs Azam! | Fikra Pevu