Jana manzoki mbona hakucheza? Alikuja kupiga kura kama mwanachama? Simba nguvu moyaYanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
Kwani nyie Simba, wale RAJA hamkujipanga zaidi ya kuendesha basi kinyumenyume?Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni