gentleman J
New Member
- Apr 25, 2020
- 3
- 103
We naweMnafiki ni yule aliyeongea kwa uchungu kuhusu namba sita iliyotekwa pale Airport na club kubwa si tu Tanzania bali pia Afrika imewekwa port 2 inashika nafasi a saba. Ni mnafiki kwa sababu tulisha aminishwa hakuna mchezaji aliyetekwa wa Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23]Vjn Yanga na simba hazitawasaidia kitu...
Unasikia kutoka kwa nani? Sisi mashabiki wa Yanga taarifa zote huwa tunazipata kwa viongozi wa timu. Nyinyi wenzetu huwa mnazipata wapi hizo taarifa?Hakuna habari huko..
Nasikia ni vikao tuu na mayele
Kwahyo tufanye nini kitusaidie kitu mzee?Vjn Yanga na simba hazitawasaidia kitu...
Ally kamwe kazinWachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini hawapi airtime za kutosha, kila mchambuzi anasubiri wachezajiwa Yanga.
~ Eti mara Mtendaji Mkuu anataka kuondoka.
~ Eti yanga wamefungiwa kusajili.
~ Yanga hawana pesa
~ Wachezaji wanataka kuondoka.
Labda hamjaelewa kitu, Yanga wameamua kufanya mambo yao kiprofessional zaidi, Yanga wamesema hawashindani na mtu kusajili, Yanga wanasajili kulingana na matakwa yao.
~ Yanga walianza kutambulisha Kocha.
~ Leo wanatambulisha Benchi la Ufundi.
~ Watafata kutambulisha wachezaji.
Yanga washasema wameshamaliza kusajili, sasa nashangaa mpuuzi mmoja kutoka humu JamiiForums nadhani mnajua huyu jamaa taarifa zake nizakipuzi na uongo mtupu.
Hjui mpira wala nini, yeye anaishi kwa mihemuko tu na mahaba ya kijinga. Hata ukiangalia nyuzi zake nyingi ni kuisema Yanga, anashindwa kuelewa kuwa anaipa yanga airtime.
Kwani kibabaje sio mchezaji mkuu au hakutambuliswa yanga.Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini hawapi airtime za kutosha, kila mchambuzi anasubiri wachezajiwa Yanga.
~ Eti mara Mtendaji Mkuu anataka kuondoka.
~ Eti yanga wamefungiwa kusajili.
~ Yanga hawana pesa
~ Wachezaji wanataka kuondoka.
Labda hamjaelewa kitu, Yanga wameamua kufanya mambo yao kiprofessional zaidi, Yanga wamesema hawashindani na mtu kusajili, Yanga wanasajili kulingana na matakwa yao.
~ Yanga walianza kutambulisha Kocha.
~ Leo wanatambulisha Benchi la Ufundi.
~ Watafata kutambulisha wachezaji.
Yanga washasema wameshamaliza kusajili, sasa nashangaa mpuuzi mmoja kutoka humu JamiiForums nadhani mnajua huyu jamaa taarifa zake nizakipuzi na uongo mtupu.
Hjui mpira wala nini, yeye anaishi kwa mihemuko tu na mahaba ya kijinga. Hata ukiangalia nyuzi zake nyingi ni kuisema Yanga, anashindwa kuelewa kuwa anaipa yanga airtime.
huu uzi ni km umewatia DOLE...pyuuuu!!!Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini hawapi airtime za kutosha, kila mchambuzi anasubiri wachezajiwa Yanga.
~ Eti mara Mtendaji Mkuu anataka kuondoka.
~ Eti yanga wamefungiwa kusajili.
~ Yanga hawana pesa
~ Wachezaji wanataka kuondoka.
Labda hamjaelewa kitu, Yanga wameamua kufanya mambo yao kiprofessional zaidi, Yanga wamesema hawashindani na mtu kusajili, Yanga wanasajili kulingana na matakwa yao.
~ Yanga walianza kutambulisha Kocha.
~ Leo wanatambulisha Benchi la Ufundi.
~ Watafata kutambulisha wachezaji.
Yanga washasema wameshamaliza kusajili, sasa nashangaa mpuuzi mmoja kutoka humu JamiiForums nadhani mnajua huyu jamaa taarifa zake nizakipuzi na uongo mtupu.
Hjui mpira wala nini, yeye anaishi kwa mihemuko tu na mahaba ya kijinga. Hata ukiangalia nyuzi zake nyingi ni kuisema Yanga, anashindwa kuelewa kuwa anaipa yanga airtime.
Heeee hebu njooni msikie hii taka takaYanga hamna habari yeyote...lipeni madeni