Kinachosababisha wachezaji wa timu kama Kagera, coastal na polisi wacheze kwa bidii na ari ni hamasa ya benchi la ufundi kwa wachezaji wao kitu ambacho kaze hawezi ila Zahera anakiweza.
Kama ukimrejesha Zahera au Mkwasa kikosini hawana muda wazoea mazingira ama kujaribu combinations za wachezaji lakini mkimleta kocha kutoka Slavia leo wakati michuano inaenda mwisho mpaka aje azoee hali itakuwa mbaya zaidi.
Hamna jeuri hiyo. Yanga hata iwe mbovu vipi, ikikutana na mwamedi fc hubadilika na kucheza vizuri. Mfano mzuri ni mwezi January walipo waduwaza kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuchukua ubingwa na nyinyi kushika nafasi pili.