Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Wazee wa kufukuza
fukuza mna bahati sana juzi mlipata penalt la sivyo mngelala na kale
kamoja.
Na msimu huu mtashuka na daraja kabisa manake mtapigwa na kila mtu
..halafu nyie sio wa kuwapiga nyingi. Moja moja kanawatosha tano nyingi
sana.
Asanteni sana Kagera mumenipa sana raha leo .
Wakimfukuza mishahara atalipa nani? Tena ili awatulize ametangza hivi punde eti ana mpango mkakati wa kuijengea Yanga uwanja. Andekuwa na hela angeanza na kulipa madeni ya Njoroge, Papic na kuondoa mizungu ya nne kila siku mwishowe wachezaji watafi.............wenyewe kwa wenyewe.Acha uchozi kijana! Hahaaaa! this time atakuwa Manji wakutimuliwa!
Jukwaa leo tulivu kweli.
wanaendeleza kamchezo kao.......walichofundishwa na saintfietwazee wa kufukuza fukuza mna bahati sana juzi mlipata penalt la sivyo mngelala na kale kamoja.
Na msimu huu mtashuka na daraja kabisa manake mtapigwa na kila mtu ..halafu nyie sio wa kuwapiga nyingi. Moja moja kanawatosha tano nyingi sana.
Asanteni sana kagera mumenipa sana raha leo .