Yanga leweni tu tutakutana uwanjani

Yanga leweni tu tutakutana uwanjani

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,210
katika shindano linaloendelea la mtani jembe mpk sasa yanga waanaongoza kwa ulevi kuliko simba sasa ndugu zangu nyie leweni tu lakini okwi anawasubiri uwanjani
 
Nyie Simba si mnakunywa chang'aa, double punch, banana, kibuku, togwa....
wacha wenye mawe yetu tunywe kitu yenye TBS , si mnakumbuka mwaka jana tliwalamba milioni 98 , na nyie tukawapa2M walau mkanywe hata chimpumu na kakangara... mjipange sana nyie mikia kwenye vilabu vyenu vya pombe za kienyeji.
 
Last edited by a moderator:
Kazitunayo uko sahihi kabisa, Kandambili watashinda Bar ila sisi tutashinda uwanjani.
 
Ombeni Mungu mshinde uwanjani, tukiwapiga na huko mtaambulia 20,000,000/= huku sisi tukivuna 180,000,000/=. Hakuna anayeweza kushindana na timu ya Wananchi, hii ndiyo Peoples Power!
 
Last edited by a moderator:
Wanachama wa simba ni wacheza bao maarufu. Isitoshe wanakunywa chang'aa ambayo haina kizibo kama ilivyo kilimanjaro bia
 
"Yanga huwa ikiifunga Simba chang'aa, chibuku, pombe za mnazi huisha katika vilabu, lakini Simba ikishinda Heineken huadimika katika Bar mbali mbali mjini" ~ Alhaj Aden Rage.
 
Ombeni Mungu mshinde uwanjani, tukiwapiga na huko mtaambulia 20,000,000/= huku sisi tukivuna 180,000,000/=. Hakuna anayeweza kushindana na timu ya Wananchi, hii ndiyo Peoples Power!

Mwaka huu kipigo kipo palepale kama mwaka jana.
 
Tatizo hata tukiwafunga wanasema ni bonanza "maza fanta"
 
katika shindano linaloendelea la mtani jembe mpk sasa yanga waanaongoza kwa ulevi kuliko simba sasa ndugu zangu nyie leweni tu lakini okwi anawasubiri uwanjani

Simba wao wanalewa viroba
 
Back
Top Bottom