Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Mabingwa wa kusakata kabumbu ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na Kati, Dar-es-salaam Young Africans almaaruf kama Yanga leo watakuwa bungeni kwa Mwaliko wa Waheshimiwa wabunge wanaothamini mchango wa team hii katika kuipeperusha vyema bendera ya Taifa kwenye mashindano ya kimataifa.
Wachezaji wa team hii wanatarajiwa kuambatana na Viongozi wao mpya wakiongozwa na Mwenyekiti wao Jemedari Manji.
My take:
Tutarajie na watani zetu kuiga kwa kupeleka Kombe la UJIRANI MWEMA,kama walivyoiga mwaka jana tulipopeleka Kombe la Kagame wao wakapeleka la Ligi kuu,sasa safari hii ksbb lile la Ligi kuu wanalolishikilia walishalipeleka itabidi wapeleke hili la UJIRANI MWEMA walilolinyakua juzijuzi,kombe ni kombe watani jiapangeni kulipeleka tu.