Watu kama nyie mimi nawapa big up, tumeteleza, kamwe tusikubali kuanguka, Shime tusonge mbele. Mbona watakimbia hawa Mikia ?Kukata tamaa kwa lipi. Ya sasa yatapita. Tushukuru kuchukua ndoo mara tatu mfulilizo. Mwakani tutarudi kivingine. Naamini Hatuwezi kukaa nyikani miaka mitano.