Yanga kwa Mamelodi wameyatimba, wasubiri mwakani

Kwa timu yenye malengo makubwa ya kuchukua ubingwa haiwezi kuogopa timu ya kushindana nayo. Kama inataka kucheza na vibonde haipaswi kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa maana huko kwa vyovyote itakutana na timu ngumu zilizojipanga vema kuwania ubingwa huo. Inashangaza kuona mashabiki wa timu fulani wakiisema vibaya na kuitishia timu nyingine kana kwamba wao wanakutana na kibwengo! Kwani wao ubingwa hawautaki? Kama ndivyo basi pole kwao kwa maana hata hawajui kwa nini wanashiriki mashindano hayo. Wawaache washindani washindane na wao wabaki washiriki tu!!
 
Huu ni uzi wa 20 kwa leo tu kuongelea Yanga na Mamelodi. Mnajisahaulisha kuhusu Al Ahly.
Yanga na mamelodi ndiyo mechi kubwa Kwenye Caf champions league 2024 Kwenye ngumi tunaita main event hizi nyingine za kina asec, Al ahly na wengine ni utangulizi
 
Back
Top Bottom