Mpagani
Senior Member
- Oct 8, 2016
- 134
- 66
Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu hii kitu leo nilikuwepo uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya Yanga na Mwadui nimeona ajabu timu kubwa kama Yanga kutoandika majina katika jezi zake.
Je, ni makusudi au mdhamini hana pesa ya ku print mbona mbele ya jezi zina nembo kulikoni?