yanga kukata rufaa dhidi ya Azam

yanga kukata rufaa dhidi ya Azam

kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa timu ya Yanga inatarajia kukata dhidi ya mchezo wao na Azamu uliochezwa leo kwenye uwanja wa taifa na Azam Fc kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa mawili ya Yanga.kwa mujibu wa taarifa hyo Yanga watakata rufaa kwani MTANGAJI aliyekuwa akitangaza mpira huo alitangaza goli la mwisho la Azam kuwa ni yanga ndio wamefunga badala ya kutamka Azam ndio waliofunga,kwa mantiki hiyo wanahisi ni hujuma wamefanyiwa na wanaadhimia kuwasilisha rufani yao TFF ili mechi hiyo ichezwe upya.

Wewe Pakapanya kweli!
 
eti pia kwamba goli la kwanza lilifungwa kabla dakika moja haijatimia na la mwisho (LA TATU) lilifungwa kwenye muda wa kuwahi daladala
 
mbona umenipa jina ambalo si langu,call me Nakapanya not pakapanya, sawa makoye the tall man.......

Sawa Mkuu, hivi kumbe niliangalia vibaya niliona kama 'Pakapanya' kumbe ni 'Nakapanya', sorry sana, post yako iliniudhi hivyo nikahamaki, sikuangalia vizuri hlo jina lako. Anyway, jazba imeisha, tuko pamoja Mkuu.
 
usijali mkuu na karibu sana,lakini hukuhitaji kuhamaki kwani nyie ni watani wetu wa jadi so utani lazima uwepo mkuu.
 
kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa timu ya Yanga inatarajia kukata dhidi ya mchezo wao na Azamu uliochezwa leo kwenye uwanja wa taifa na Azam Fc kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa mawili ya Yanga.kwa mujibu wa taarifa hyo Yanga watakata rufaa kwani MTANGAJI aliyekuwa akitangaza mpira huo alitangaza goli la mwisho la Azam kuwa ni yanga ndio wamefunga badala ya kutamka Azam ndio waliofunga,kwa mantiki hiyo wanahisi ni hujuma wamefanyiwa na wanaadhimia kuwasilisha rufani yao TFF ili mechi hiyo ichezwe upya.

Pamoja na kusoma maelezo huwa naangalia jina la mwandishi. Hii imeandikwa na Nakapanya - nadhani ingekuwa Panyabuku kabisa.
 
Wewe Pakapanya kweli!

Azam muunde timu moja Simba mtengeneze timu moja kupambana na Yanga. Mechi ngapi Azam kachapwa na Yanga hii moja mnafanya sherehe kubwa. Ukweli utabakia palepale kwamba Yanga ndiyo timu pekee iliyotwa ubingwa wa Tanganyika/Tanzania mara nyingi zaidi. Yanga wanaliona hilo la kawaida na hawapigi kelele. Ingekuwa timu ya Alshabab na wahaini ingekuwa balaa
 
Pamoja na kusoma maelezo huwa naangalia jina la mwandishi. Hii imeandikwa na Nakapanya - nadhani ingekuwa Panyabuku kabisa.

hujakosea ila najua ukikua utaacha,leta hoja,ndio nyinyi mnaovamia kila post kutaka kuchangia ili muonekana mpo jukwaani,mada nyingine hazipo kwa ajili ya watu wa aina yako,jukwaa la michezo tunachangia bila kukashifiana
 
Back
Top Bottom