Yanga kuja na khanga ya 5,mashabiki wake kuvaa khanga ili kusherehekea ushindi

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,972
Kama mnavyojua timu za uswahilini haziishi heka heka.Ushindi iliopata yanga ni wa kihistoria.Hawakuwahi kuifunga Simba Sports club goli nyingi kama hivyo.
Ushindi mkubwa waliishinda Sunderland ndio maana ushindi huu kwao ni tukio la karne.

Wataongozwa kuvaa khanga hizo na Ali kamwe huku wakipepea leso zilizoandikwa 5G.

Tunawatakia kila la heri katika kusherehekea ushindi huo kwa timu kubwa sana Afrika.Hii itawasaidia ninyi kujitambulisha kwa wakubwa wenzetu Afrika na duniani.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yaaani waleteeee mpaka chupi.... Hakuna kuwapa pumzii Hawa mwamedii fc a.k.a tatu malogo fc!!
 
Attachments

  • FB_IMG_1700045242071.jpg
    FB_IMG_1700045242071.jpg
    39.7 KB · Views: 1
Kama mnavyojua timu za uswahilini haziishi heka heka.Ushindi iliopata yanga ni wa kihistoria.Hawakuwahi kuifunga Simba Sports club goli nyingi kama hivyo.
Ushindi mkubwa waliishinda Sunderland ndio maana ushindi huu kwao ni tukio la karne.

Wataongozwa kuvaa khanga hizo na Ali kamwe huku wakipepea leso zilizoandikwa 5G.

Tunawatakia kila la heri katika kusherehekea ushindi huo kwa timu kubwa sana Afrika.Hii itawasaidia ninyi kujitambulisha kwa wakubwa wenzetu Afrika na duniani.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
bado sana hamjasema nyie...hizi 5G zita tayaya mpk mwisho wa msimu shwaini nyie
 
Mnyonge akimpatia mwenye nguvu tabu kweli..ila hatushangai kwasababu washabiki wengi wa yanga ni wanawake,hii ni kwamujibu wa tafiti...inamaaana hata wanaume wengi wa yanga wanaelements za kike.
Image mpaka huyo kiongozi wao anayeitwa engineer wa umbe amepeleka umbea southafrika
Kunywa maji mengi upunguze maumivu
 
Back
Top Bottom