Yanga kuelekea msimu mpya

Wawekezaji gani? Ninachojua ni mkwamba mchakato wa kampuni bado,nadhani ungekamilika wawekezaji hao kwenye hizo hisa ndio wangekuwa na hizo short and Long plan
Vinginevyo usishangae mfumo wa usajiri unaotumika kwa sababu hawajashift kwenda huko unakotaka kwa 100
Nafikiri tuwape muda kwa kuwa wameanza vizuri na naamini wanajua safari Yao watapitia wapi
Mkuu kama katiba tayari, na wadau pamoja washabiki tayari wamesharidhia. Hivi unataka kuniambia mchakato wa kuifanya kuwa kampuni ina mlolongo kiasi gani mpaka ishindwe kukamirisha hilo jambo kwa wakati?
 
Sarakasi za GSM na ubabaishaji wa viongozi wa Yanga ukiwa unaendelea kujionesha. Waendeshaji wa timu ya Yanga hawako serious kabisa.
 
Back
Top Bottom