Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hahahaha.. This week kuna gazeti la Champion liliandika kichwa cha habari kwamba mtani umekuwa Mcharo.. Hii ni katika jitihada ya Shigongo kuwatoboa mifuko mafukara wa akili Yanga,wakaanza kujitamba sisi Noma..mara wazee wq nne,Simba nyi wazee wa moja
moja pasipo kutambua kuwa walipangwa na group nyanya..yenyew timu mithili za mchangani.Haya endeleeni kuhonga waandishi na nyinyi maiti wa Yanga endeleeni kuamini kwamba nyinyi ni wazee wa nne.mapinduzi ni rasha rasha shirikisho ndo gharika...kweli ndala kama MCHARO MMEKUWA WATAMU..sikuzote kimoja kinauma...Big up JKU
Najua Kanjibhai na hili atasema FETE la KARUME.