Yanga kama 'mamtoni' mwanangu, hawa jamaa wawili watatisha sana

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
FB_20170729_12_43_44_Saved_Picture.jpg
FB_20170729_12_45_49_Saved_Picture.jpg
FB_20170729_12_46_37_Saved_Picture.jpg

Ni shida
 
Kwenye mazoezi mbwembwe za kufa mtu !!!! haya sasa subiri ligi ianze wanaaibishwa na vitimu kama MBAO ambavyo havina mfadhili, wachezaji wao wa bie rahisi na wakate mwingine msosi wa shida,,, wao wamesajili kwa mbwembwe watu kutoka mbali na makocha wenye vyeti lukuki sasa kwenye mechi ni vituko ni kuruka ruka tuu ,, na wanaposhidwa kufunga huamini wamelogwa na akili zao huamia kwenye goli la mpinzani wao kwenda kufukua eti kuna hirizi.... subirini ligi ianze muone.....sasa hivi wao na pacha wqao mkia fc wamenunua magazeti yote.. ni kusifia wachezaji wanaowasajili tuu na ukiyasoma unaweza kudhani kuwa wamewazidi kiwango akina mesi na ronaldo....subiri uanjani sasa.....maweeeee!!!
 
Mkuu tuwe wakweli, najua wewe ni mwanaSimba mwenzangu. Sawa wanaweza kuwa wameaibishwa na vitimu vidogo kama mbao, lakini at the end wao ndo mabingwa. Tuombe tu tuchukue kombe msimu ujao hilo ndo litatupa haki ya kuwakashifu tuwezavyo, ila bila ya hivo tutakuwa tunaonekana wabwatukaji tu
 
Simaanishi hawa

tuu ....wote na huyo mwenzake uliye mtaja lao ni moja hata kama ubingwa wanachukua ni kwa fitna tuu lakini ukishuhudia mechi wanazocheza ni tofauti na usajili wanaoufanya na tofauti kabisa na yaliyoandikwa kwenye magazeti.....mimi hujisikia vibaya zaidi kuona wanchezaji wanaojiita professional badala ya kucheza mpira kama hadhi yao uilivyo lakini unakuta ndio wanaongoza kufukua kwenye magoli eti kuna hirizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom