Yanga inaenda kufa kifo cha mende?

mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
3,256
4,599
Kama navyoiona Ac Milan ikijifia ndivyo navoiona Young African(Yanga).kwa nini nasema yanga inaweza kujifia ni kwa sababu ya kuingiza siasa kwenye mpira.Mashabiki wa Yanga na simba(watanzania)kila mtu hujiona kocha.Ndio maana sio ajabu kuona msemaji wa timu anazungumzia mambo ya benchi la ufundi au mwenyekiti kuzungumzia mambo ya ufundi uwanjani.

Katika klabu yetu kila mtu anajiona fundi kuliko mwenzake hali inayopelekea makundi na migogoro Katika klabu za Yanga na simba pia huwa hakuna siri,wao wakikaa kikao lazima wavujishe kwa wanahabari eti wakisema majina yao yasitajwe hiyo inapelekea taharuki kwa mashabiki na wanachama.

Kumng'oa Zahera kumefanyika kisiasa kutokana na mihemko ya mashabiki kule Mwanza lakini ukweli ni kwamba Zahera katupiwa mzigo lakin tatizo liko palepale ndani ya uongozi hasa ule wa juu kabisa.Ninaamini Yanga ITAFELI MISIMU SI CHINI YA 5 IJAYO.kwa sababu wapinzani wao Simba ya msimbazi imenipanga na iko kwenye right track.Sitegemei chochote zaidi ya matokeo mabovu hasa msimu huu.

Kwa data za uwanjani huwezi kumbeza Zahera kwa sababu kama Yanga ingeshinda mechi zote zilizobaki ingekuwa nyuma ya simba point 2 na ingekuwa ya 2 au 3.Lakin wanaanza upya binafasi sitegemei jipya kafika matokeo ya uwanjani kwa miaka 5 ijayo.
Mimi kama shabiki wa Yanga nasema tungemwacha Zahera amalize mkataba au msimu huu ndipo tumhukumu.Hapo Mwalala mnabebesha mzigo mkubwa kwa kuwa atakuwa yuko chini ya kivuli cha Zahera.Hapo yale maneno ya" bora zahera angebaki"yatakuwa lukuki.Au mwamta mwalala ambaye hatakuwa na power ili muanze kumpangia kikosi kuwa "sonso lazima acheze leo",hata kama majeruhi?
Kama vipi mtulie mtafute kocha mwingine nje na mwalala ambaye anauwezo mkubwa angalau sawa na wa kocha sa simba ila sio hao wengine
 
You are not serious dude! Zahera amecheleweshwa unless wewe shabiki/mpenzi wa simba
 
Simba haina ubora wowote zaidi ya kutumia rushwa kushinda mechi. Klabu bora haiwezi kutolewa na UD SONGO iliyofungwa goli 6 bila na Wasauzi
Mianya ya rushwa na biashara yao ya kupuliza dawa vyumbani kwa timu pinzani ikigoma siku ya mechi na UD Songo. Matokeo ndiyo yale.
Naona mnaanza kuiingiza Simba katika sakata isilohusika nalo la kufukuzwa kwa Zahera. Yaani timu yoyote ikiisumbua Simba basi inakuwa ndio reference msimu mzima, labda kwa kuwa si rahisi kusikia Simba kapoteza mechi
 
Watangazaji wa Radio ndio walio mondoa yanga. Watamuota Sana. Mkwasa NI kocha mzuri Sana. Na Simba wakaye tayari kufungwa na Yanga safari hii
 
Kwa kiasi nakubaliana na wewe ila kusema zahera alikuwa tapeki nadhani uungwana umekipita kidogo(huna).Lakin yanga ndio itakuwa imara ila uongozi usipobadilika kimtazamo basi tegemea matumaini hewa.
Yanga itakuwa bora kuliko wakati wowote ule, kufukuzwa kocha ni kawaida hata Ulaya Klabu zinafukuza sana, Zahera hakuwa kocha yule alikuwa tapeli
 
Simba haina ubora wowote zaidi ya kutumia rushwa kushinda mechi. Klabu bora haiwezi kutolewa na UD SONGO iliyofungwa goli 6 bila na Wasauzi
Hiyo bado si hoja kwa sababu simba haina uwezo wa kuhonga timu 19 za ligi kuu.Kama unadhani ndio njia maana yake un ashauri na sisi Viongozi wetu wahonge?
Hapa bado huna hoja.tafuta hoja nyingine
 
Unaakili kidogo sana yaani za kuvukia barabara utakuwa njiti wewe.Huwezi hata kuelewa vitu vidogo vya mpira ambavyo viko wazi utawezaje kutatua matatizo yako mwenyewe usiyoyaona?
Acha kulinganisha ac Milan na uchafu ulioutaja
 
You are not serious dude! Zahera amecheleweshwa unless wewe shabiki/mpenzi wa simba
Mpira ni mchezo wa wazi weka hapa data zako ili tuone fact kuwa amecheleweshwa.Tiririka kaka.
 
Hawa ndo huwa tinaita mashabiki maandazi.Wao huwa wanataka ushindi tu hawajui kuna misingi ya kupata ushindi wa wanjani.Akili zao kwenye soka hazipo
Naona mnaanza kuiingiza Simba katika sakata isilohusika nalo la kufukuzwa kwa Zahera. Yaani timu yoyote ikiisumbua Simba basi inakuwa ndio reference msimu mzima, labda kwa kuwa si rahisi kusikia Simba kapoteza mechi
 
Uzuri wa mkwasa ni upi?mkwasa yupo vizuri kwenye management ya timu na si kama kocha.Utaona mwenyewe kwenye hizi mechi
Watangazaji wa Radio ndio walio mondoa yanga. Watamuota Sana. Mkwasa NI kocha mzuri Sana. Na Simba wakaye tayari kufungwa na Yanga safari hii
 
Hapana dada mi si mpigaramli ila nimejaribu kuangalia kwa jicho la mbali.Naweza kuwa nimekosea au niko sahihi.Ila Yanga isipobadilika kiundendaji kwa hakika hata matokeo ya uwanjani yatabaki hivihivi.
mikedean unekuwa Sheikh Yahya?
 
Simba haina ubora wowote zaidi ya kutumia rushwa kushinda mechi. Klabu bora haiwezi kutolewa na UD SONGO iliyofungwa goli 6 bila na Wasauzi
Wasauzí wakadroo na simba, tena walikoswa koswa kwao.
Usichukulie mpira kama hesabu.ŕ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom