logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,553
Tabia ya kutokuwa wavumilivu ndo inaiponza klabu yetu.
Huyu jamaa ni striker mzuri sana.
Alipita Yanga ya 2015 na akina Bossou
Jana kaisaidia Liberia kwa kufunga bao pekee dhidi ya Central Africa Republic.
Ni kati ya Wafungaji hodari huko Malaysia
View attachment 1928136