Source07
Senior Member
- Oct 5, 2018
- 196
- 352
Yanga msimu ujao watashiriki mashindano ya kimataifa na hii inatokana na SIMBA kufanya vizuri hivyo kuweza kuipatia nafasi yakushiriki Yanga..
Yanga ili kushiriki mashindano ya kimataifa ilikua ni kupitia kushinda kombe la shirikisho na ambalo leo wametolewa hivyo kwanjia hiyo haiwezekani tena..Njia aliyobaki nayo Yanga kuweza kushiriki mashindano hayo nikushinda ligi nakua Bingwa lakin hilo nikama ndoto Tu za mchana..hivyo yanga njia pekee inayowapeleka Kimataifa ni kupitia mgongo wa Simba!
Ifike mahala Yanga iwaheshimu Simba!