Yanga Club bora ya wiki CAF Champions League

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,884
38,840
Timu ya Wananchi Yanga imeibuka washindi wa timu bora ya wiki kwenye michuano ya CAF CHAMPION LEAGUE raundi ya Pili.

Mashabiki 23,825 walipiga kura huku mabingwa wa Tanzania Yanga wakipata asilimia 63%ya kura.Upigaji wa kura ulifanyika kwenye mtandao wa X na Facebook.

π™’π˜Όπ™‰π˜Όπ™‰π˜Ύπ™ƒπ™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„π™„

#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka watu watayaita mma.
 
Enzi zenu mpo bize na Mwinyi Zahera mnatembeza bakuli mitaani. mlikuwa mnasema haya mambo hayana maana!!
 
Hongera zao utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…