Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,217 Reaction score 20,557 May 13, 2024 #1 Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 19,745 Reaction score 72,310 May 13, 2024 #2 Match zilizobaki tunamchukulia Azizi kiatu chake
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,331 May 13, 2024 #3 Bado kiatu
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 25,960 Reaction score 28,276 May 13, 2024 #4 Ileje said: Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi! Click to expand... Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš«
Ileje said: Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi! Click to expand... Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš«
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,217 Reaction score 20,557 May 13, 2024 Thread starter #5 Bengal said: Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš« Click to expand... Semaji la kimataifa limepotea kusikojulikana!
Bengal said: Vipi hamja tujulisha hali ya semaji la kimataifa na kocha guardiola mnene,hawajazimia kwa habari hiziš« Click to expand... Semaji la kimataifa limepotea kusikojulikana!