technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,699
- 58,747
Ingekuwa mmepanga na kuchagua kutoshindania makundi, tusingesikia malalamiko ya mashabiki wenu wenyewe kwamba kocha Nabi ni mpumbavu na kwamba aondokeNyie nao wekezeni nje na mshindanie kombe la makundi kupanga ni kuchagua.
Inaelekea wewe umri wako bado ni mdogo Sana, Yanga ya Zahera iliingiaje makundi ya shirikisho mwaka 2018 kama timu haijaifunga timu yoyote tangu 2017 zaidi ya Zalan?Mechi za simba huwa mnakesha makaburini tu wala hakuna kingine. Kama ni uwezo wa timu , timu za nje zinawashindaje kufunga...
Umekula Mihogo mingapi leo?Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua?
Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua...
Kuwafunga Simba au kutoa nao sare,haiondoi ukweli kwamba ushindi wenu huwa ni kwa sababu mnatumia pesa aidha kwa waamuzi ama wachezaji wa timu pinzani.Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua?
Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua...
Sasa mbona ninyi ndio mnaongoza kwa ulozi.Kuwafunga Simba au kutoa nao sare,haiondoi ukweli kwamba ushindi wenu huwa ni kwa sababu mnatumia pesa aidha kwa waamuzi ama wachezaji wa timu pinzan...
mo huwa anapokea hongo ya gsmKuna watu wanasema unbeaten ya kununua?
Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ?
Mbona hawajashinda?
Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi?
Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu yenu ungekuwa imechukua makombe 4 ndani ya mwaka mmoja tungelala kweli?
Yanga bado ni imara Sana na ndio timu Bora Tanzania kwa Sasa takwimu hazidanganyi!!
Nabi tunafukuza na tunamleta mbrazil wa Vipers taabu iko pale pale mtani.
Endeleeni kusindikiza champion ligue mkirudi sisi tunatangaza ubingwa tena wa ligi na FA
Mtakalia yanga anaunua mechi tu kujificha kwenye huo uongo Ila mkirudi tunapiga kwenye mshono tunachukua.
Tutachukua ubingwa huu mpaka 2030 ndio tutapumzika!!
Nyie nao wekezeni nje na mshindanie kombe la makundi kupanga ni kuchagua.
Kwa hiyo yanga alimnunua manula 1.afungwa fataki ile na ki AzizUmevimbewa mihogo sasa unaanza kupumua
Hebu sasa wewe tuambie Yanga alimfunga lini Simba kwenye Ligi kuu?Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua?