Yanga bana!

Anacheza na mba ngapi huyu ngongoti??????

Huyo anacheza namba nne, lakini hajagusa mpira kuanzia mwanzo mpaka mpira unaisha. Lakini hawakumtoa, sijui anaundugu na Manji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…