Yanga bana

bora afanye hiyo kazi kuliko kukoromewa na vile vizee vya kiswahili pale jangwani
 
Mh jamaa hawa wapuz kweli yaani utadhani wamerogwa mnamtimua kwa kipi kibaya hapo ni kutupa kichwa sie wazee wa elfu 10, wakati wa mechi ile mashabiki kuna bango walikuanalo MECHI YA MTANI JEMBE NDO SIKU MAKOCHA WA YANGA WANAPEWA TALAKA, then mnatekeleza si UMBULULA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…