mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Kama umetumwa na rage huko huko usituletee matapishi yako hapa.Zungumzia mabadiliko ya uongezi au wachezaji we unazungumzia rangi.Nenda kafuate rangi azam tuachie yanga yetu ebo

kwani kati ya Yanga na CCM kipi kilianza?
Tuanze kubadili uongozi kwanza then haya yanazungumzika... Tangu nimeifahamu yanga sijawahi kuiona ikifungwa goli 5 tena bila majibu.... Tumepoteza Ubingwa kwa uzembe hivi hivi .....Hilo kwanzaUmefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu,kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang pia,na hawakuipenda yanga kwa sbb ya rangi.Ikiwa simba walibadili jina sioni ajabu tukibadili rangi.Esperance walibadili rangi kuwa njano na nyekundu kutoka blue na nyeusi.Nashauri cc tubadiki tuvae njano na blue.Kumbuka mashabiki ni sawa na wateja wa timu,timu inapokuwa na fan wengi na mapato yanaongezeka.YANGA ilikuwa timu yenye washabk wengi tz,lakini nahc sasakuna mabadiliko.
Na rangi inahusika katika psycology ya masoko
mfano hauendani...
Yanga ni organization amabayo ina mashabiki na ndio wadau wakuu, ambao ni kama wamiliki kwa namna moja...
precison ni kampuni ya binafsi na ni kampuni ya kibiashara ambayo utaitumia tu ukiwa una shida inayokupasa ufanye hivyo!
Kwa hiyo hisabati Yanga ikiwa kampuni binafsi mambo yatakuwa sawa kwa rangi zilezile?
mfano hauendani...
Yanga ni organization amabayo ina mashabiki na ndio wadau wakuu, ambao ni kama wamiliki kwa namna moja...
precison ni kampuni ya binafsi na ni kampuni ya kibiashara ambayo utaitumia tu ukiwa una shida inayokupasa ufanye hivyo!
ninafurahi kuona watanzania wenye mawazo chanya kama haya, ila tatizo..kuna watu humu wanaandika upunguani tu..bila kufikiri umuhimu wa mada.I wish ningekuwa moderator..ningekuwa ninapost comments zenye akili tu..ujinga ujinga hakuna..tutoe mawazo yetu kwa hali ya kujengani na si kukurupuka..Rangi ya Yanga INABOA..ni vyema kubadilishwa isiendane na chama..nyie hamsomi alama za nyakati bwana..kubadilika ni mojawapo ya kukua kimaendeleo..tatizo binadamu wengi tunaogopa mabadiliko..
Hii dhana ya ajabu sana! Kwamba kama kuna kitu au timu au chama hukipendi/hakipendwi na kinatumia rangi fulani basi wengine wasitumie rangi hizo! Ajabu ajabu. Nikuulize mkuu precision nao wabadilishe? Au Yanga tu?
ninafurahi kuona watanzania wenye mawazo chanya kama haya, ila tatizo..kuna watu humu wanaandika upunguani tu..bila kufikiri umuhimu wa mada.I wish ningekuwa moderator..ningekuwa ninapost comments zenye akili tu..ujinga ujinga hakuna..tutoe mawazo yetu kwa hali ya kujengani na si kukurupuka..Rangi ya Yanga INABOA..ni vyema kubadilishwa isiendane na chama..nyie hamsomi alama za nyakati bwana..kubadilika ni mojawapo ya kukua kimaendeleo..tatizo binadamu wengi tunaogopa mabadiliko..
Mimi kama mwanayanga nashauiri tuanze kuvaa nyekundu kwa mechi za ugenini na nyeusi nyumbani! Tusione haya jamani rangi nyekundu inaashiria ushindi wenzetu uingereza almost kila timu inavaa nyekundu man utd, liverpool, arsenal,sunderland, man city kwanini sisi yanga tushindwe? Nafikiri tukiamia nyekundu italeta changamoto zaidi kwa wapinzani wetu
kila mahali siasa! watu wamelewa siasa. Kila chama kina rangi yake, bluu na nyeupe ilishachukuliwa na Azam, mwe!
kwani kati ya yanga na ccm kipi kilianza?