Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu,kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang pia,na hawakuipenda yanga kwa sbb ya rangi.Ikiwa simba walibadili jina sioni ajabu tukibadili rangi.Esperance walibadili rangi kuwa njano na nyekundu kutoka blue na nyeusi.Nashauri cc tubadiki tuvae njano na blue.Kumbuka mashabiki ni sawa na wateja wa timu,timu inapokuwa na fan wengi na mapato yanaongezeka.YANGA ilikuwa timu yenye washabk wengi tz,lakini nahc sasakuna mabadiliko.
Na rangi inahusika katika psycology ya masoko
ni wazo zuri sana kubadili rangi na logo kimsingi rangi ya yanga inaboa sana na kuna ushabiki niliusikia mitaaa fulan buguruni kuwa yanga ni ccm niliumia sana kwani niliwaza inamaana wasiowana ccm siyo wana yanga?. Pia logo ibadilike jamani sijui kwann iliwekwa kandambili may be ni kiatu cha jangwani but now tubadilike kwan inashusha heshima like ni kiatu cha choon. nafikiri ushauri wa kumtumia ngamia ni mzuri.
Katika umri wangu huu sitaki kuamini kuwa wapo watu walichagua kuwa fans wa team fulani ksbb ya rangi,rangi na ushabiki wa team haziingiliani kabisa kwani wapo watu wanashabikia team pasipo hata kuwa na uhakika inavaa rangi gani,mfano mimi kwa team za nje nashabikia Arsenal lkn hata ukiniuliza uzi wao wa away ni upi hata siujui lkn ni Mshabiki mkubwa sana wa hao The Gunners,kwahiyo bwana "Yahoo" achana na mawazo mgando ya ku'mix vitu, jezi ya Yanga ni nyingine na mavazi ya Chama cha Siasa ni mengine,ungeona Yanga wametinga katika mechi fulani na uzi ulioandikwa Chama Cha Mapinduzi hoja yako hii ingekuwa na point tofauti na hapo it's a non sense.
Halafu nataka kukuambia Yanga imepoteza mvuto siyo ksbb wanavaa kijani na njano ya Chama cha siasa kilichopoteza mvuto bali ni ksbb wanavuna matokeo mabovu katika mechi zake,ukiangalia Yanga hiihii ya kijani na njano ndo ilikuwa inajaza uwanja kipindi kile inatoa dozi kwa Red Sea,Bunamwaya na Simba kwenye Kagame na ni hiihii ndani ya jezi zilezile inayoingiza mashabiki wachache kiasi cha kuweza kuwahesabu kwenye mechi za hivi karibuni,hivi mimi niende kiwanjani kuiangalia Yanga inacheza nakaa roho juu dk 90 kusubiri goli la juhudi binafsi za Kiiza la dk ya 91 katika mechi dhidi ya Villa unategemea mechi inayofuata nitakwenda,au nakwenda uwanjani nashuhudia inapigwa 5-0 niende mechi inayofuata kutafuta nini? sina sehemu nyingine ninapoweza kwenda kupata entertinement?
Kwahiyo bwana siku nyingine kabla hujaleta hoja jaribu kwanza kutafakari hoja yako ni ya kichwani au ni ya mat***ni.
Ni haya tu.
acha ubishani wa kitoto,stay to the topic
Pia fanyeni mabadiliko ya logo,hapo fulani wekeni alama inaweza kuwa mnyama fulani kama tembo,mamba nk kama timu za ulaya.Hapo jina la kandambili halitatumika tena badala yake jina la utani litakalotumika ni lile litakalotokana na mnyama atakaekuwepo kwenye logo.HAPO nawashauri awepo ngamia ambae hupatikana jangwani
Hii dhana ya ajabu sana! Kwamba kama kuna kitu au timu au chama hukipendi/hakipendwi na kinatumia rangi fulani basi wengine wasitumie rangi hizo! Ajabu ajabu. Nikuulize mkuu precision nao wabadilishe? Au Yanga tu?
Nikuulize mkuu precision nao wabadilishe? Au Yanga tu?