yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,527
- 1,405
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang ,na hawakuipenda yanga kwa sbb ya rangi pia.Ikiwa simba walibadili jina sioni ajabu tukibadili rangi ya jezi zetu.Esperance walibadili rangi kuwa njano na nyekundu kutoka blue na nyeusi.nashauri cc tubadili tuwe njano na blue. Mashabiki ni sawa na wateja wa timu,timu inapokuwa na fan wengi na mapato yanaongezeka.YANGA ilikuwa timu yenye washabk wengi tz,lakini nahc sasakuna mabadiliko.
Ukizingtia rangi inahusika katika psycology ya masoko...
Ukizingtia rangi inahusika katika psycology ya masoko...