Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya niliyafanya 1994 baada ya kuamua kuhama analogia ..niliamua hata kabla azam haijaanzishwa any way kwa kufupisha naomba yanga wabadili rangi zao ili hata ambao tumejificha azam kwa ajili hii turudi kundini.....karibuni kwa maoni na matusi kidogo.........cc.... zomba,rizt mafegi, tume ya katiba, na laaana wenzao.....