Sio kwamba mmeujumiwa?Tumeaga rasmi nakubali....hyo timu haijawahi nichana ni jeshi la anga,majini na ardhini...hao ni zaid ya SWAT
Hahahahahahahahah Sura mtazificha wapi???? Kwenye makwapa yenu.Ee Mungu kwa nn umeruhusu hili litokee?sura zetu tutazificha wapi na hawa mikia