Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
bado unae tu[emoji23][emoji28]
Nnya Sports ClubEti yanga wote tuna vinyesi kwenye chupi zetu - haji manara tareh 25/07/2022 saa 15:35
Watoto wengi humu hawalijui hili,umefanya vizuri mkuu kuwajulishailikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that)
Mashabiki wengi vijana wa enzi ya Azam Tv hii mechi iliwapita Al ahly waliomba poo hapo uwanja wa taifa nawaletea match report kwa mujibu wa africanfootball.com
Young Africans beat champions Al Ahly - 2014 CAF Champions League - Al Ahly
YOUNG AFRICANS BEAT CHAMPIONS AL AHLY
Saturday Mar 01, 2014. 18:05
View attachment 2305828
Tanzania League Champions have this evening stopped eight time African champions Al Ahly of Egypt 1-0 in the first leg of the CAF Champions League tie played in the National Stadium in Dar es salaam.
Fresh from winning the Africa Super Cup, the Egyptians failed to put their act together as the home side dominated proceedings.
Skipper Nadir Haroub Cannavaro scored the important goal in the 82rd minute. The home side with Ugandan stars Emmanuel Okwi, Hamis Kizza and play maker Mrisho Ngasa run rings around the giant side, but failed to find early goals.
Al Ahly who have been under lots of pressure from their fans back home because of poor results in the domestic League stood firm and defended in numbers. But the home side made sure they gave their fans a perfect weekend gift ahead of the return leg in Cairo next weekend.
Goli la Yanga lilifungwa na Canavaro 2014 unaleta habari za Juma mhina aliyecheza Yanga miaka ya 90'We kweli kiazi mnajifanya mnajua historian kumbe kilaza, wakati juma mhina anadaka mnajua mlicheza nao lini usiwe unaleta hoja kama hukui kitu
Asante kwa kumbukumbu nzuriilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY basi wajue ni marudio tu WANANCHI wamefanya hayo kitambo sana (Been there done that)
Mashabiki wengi vijana wa enzi ya Azam Tv hii mechi iliwapita Al ahly waliomba poo hapo uwanja wa taifa nawaletea match report kwa mujibu wa africanfootball.com
Young Africans beat champions Al Ahly - 2014 CAF Champions League - Al Ahly
YOUNG AFRICANS BEAT CHAMPIONS AL AHLY
Saturday Mar 01, 2014. 18:05
View attachment 2305828
Tanzania League Champions have this evening stopped eight time African champions Al Ahly of Egypt 1-0 in the first leg of the CAF Champions League tie played in the National Stadium in Dar es salaam.
Fresh from winning the Africa Super Cup, the Egyptians failed to put their act together as the home side dominated proceedings.
Skipper Nadir Haroub Cannavaro scored the important goal in the 82rd minute. The home side with Ugandan stars Emmanuel Okwi, Hamis Kizza and play maker Mrisho Ngasa run rings around the giant side, but failed to find early goals.
Al Ahly who have been under lots of pressure from their fans back home because of poor results in the domestic League stood firm and defended in numbers. But the home side made sure they gave their fans a perfect weekend gift ahead of the return leg in Cairo next weekend.
Ungejua hivyo msingejiita mabingwa wa historia mlikula goli za aibuGoli la Yanga lilifungwa na Canavaro 2014 unaleta habari za Juma mhina aliyecheza Yanga miaka ya 90'
Toa hata pongezi basi kwa wananchi.
Bahanuzi alizingua sana siku ile. Wamisri wote uwanjani walikuwa wameshika vichwa kusubiria penati ya kuwawezesha Wananchi kusonga mbele.Nadir Canavaro aliturudisha kati,halafu Bahanuzi akatuzingua ugenini
Simba ndio waliotia aibu ambayo nchi bado ilikua haijapitia, Alifungwa 5 na As Vita, akaenda kula 5 na Ahly yaani mechi mbili goli 10. Hii rekodi haija vunjwa bado.Ungejua hivyo msingejiita mabingwa wa historia mlikula goli za aibu
Nani kasema hivo jamani πππππ nini kwenye chupi?ππππEti yanga wote tuna vinyesi kwenye chupi zetu - haji manara tareh 25/07/2022 saa 15:35
Malizia ...halafu akafuzu hatua ya robo fainali.Simba ndio waliotia aibu ambayo nchi bado ilikua haijapitia, Alifungwa 5 na As Vita, akaenda kula 5 na Ahly yaani mechi mbili goli 10. Hii rekodi haija vunjwa bado.
Nilitoa wakati huo labda huyo Omera alikuwa kwao anakunywa uji na kamongo.Toa hata pongezi basi kwa wananchi.