Wewe ulishafilisika hunajipya bawacha mnaishia kuchaguana lakini hoja hamnanazo tena.Kila kitu kinakwenda against the terrorist CCM. Kila tukio linaipiga CCM, wana CCM wanaipiga CCM,wasio CCM wanaiiga CCM ....ukombozi upo karibu sana.
Kwani naongelea nini.Huo udogo wako wa akili sidhani hata km unaweza kusaidi jua jinsia yako.Naongelea kutowajibishwa kwa kwa hawa aliofanya kosa kubwa na la wazi kiasi cha kufanya shtaka km la Mramba kuwa halikustahili hata kufikiria fikishwa mahakamani.Yeti serikali inayolindwa akili ndogo km zenu haioni tatizo.Ni wazi hamjui hata sifa gani aua kosa gani ni kosa.mIhemko ndio inawaongoza.Haya mambo yalete mwakani siye tunafuatilia bunge usituchoshe bana.
haha...wakabila mna shida..sana.JK tangu amtoe Mramba akaingiza wadini na wakabila wenzie..hata yale mabilioni aliyoyakuta kwa mbwembwe sijui km anajua ngapi zimerudi.Akili zenu ndio maana hata huu wizi ni wa kijinga kuliko.Msiojua kutafuta hela hambebeki.Wewe ulishafilisika hunajipya bawacha mnaishia kuchaguana lakini hoja hamnanazo tena.
Ila si muhongo,Tibaijuka, Lowasa, JK etc..?
Akili yako haitoshi hata kukusaidia jua jinsia yako.Naunga nini au nahalilisha nini?Hapa naulizia kipimo gani CCM walitumia kufanya ukabila,ukanda na udini wao?Madaraka yapi mramba kayafuja kuliko werema,kuliko mkulo,kuliko karamagi,kuliko chenge,kuliko Pinda,ikulu etc?AU ni wizi gani kaufanya kuliko tibaijuka, chenge,weremea, etc?Ndio maana nakuambia acha kuunga unga. hatuwezi kuhalalisha wizi kwa wizi
Akili yako haitoshi hata kukusaidia jua jinsia yako.Naunga nini au nahalilisha nini?Hapa naulizia kipimo gani CCM walitumia kufanya ukabila,ukanda na udini wao?Madaraka yapi mramba kayafuja kuliko werema,kuliko mkulo,kuliko karamagi,kuliko chenge,kuliko Pinda,ikulu etc?AU ni wizi gani kaufanya kuliko tibaijuka, chenge,weremea, etc?