Yanayotokea CUF, UKAWA mko wapi?

Yanayotokea CUF, UKAWA mko wapi?

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
982
Reaction score
724
Kuna hali kubwa ya sintofahamu inaendelea katika chama cha wananchi CUF ambacho ni moja kati ya vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA.

Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa si CDM wala NLD wala NCCR ambao wameonyesha atleast hali ya kuwa wanaguswa na mgogoro ule they are all silents.

Sasa sisi wananchi na wakereketwa wa ukawa tunalazimika kuhoji

1_ Je, Mgogoro huu hauwezi kuathiri mipango ya ukawa ya mbeleni kama hautotatuliwa?

2_Je, Ukimya wa wanandoa wa ukawa upaswe kuwa kama kielelezo cha umauti wa ndoa hiyo?

3_Je, Viongozi na waasisi wa ukawa hawalioni hili?

Na maswali mengine kadha wa kadha
Kunani UKAWA ?
 
Kuna hali kubwa ya sintofahamu inaendelea katika chama cha wananchi CUF ambacho ni moja kati ya vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA

Cha ajabu ni kwamba mpaka sasa si CDM wala NLD wala NCCR ambao wameonyesha atleast hali ya kuwa wanaguswa na mgogoro ule they are all silents

Sasa sisi wananchi na wakereketwa wa ukawa tunalazimika kuhoji
Ya CUF waachie CUF,ya UKAWA waachie UKAWA..
Pili usijivishe uukawa wakati ndani yako ni gamba chakavu.
 
Waacheni Chadema nao wana Matatizo Yao ya ndani Mengi tu.
Angalau Mbowe kapunguza Ubabe na kaanza kusikiliza Wabunge wake kwny kurudi Bungeni na kufuta Maandamano japo katumia neno Viongozi wa dini badala ya Wabunge wenzangu
 
Ya CUF waachie CUF,ya UKAWA waachie UKAWA..
Pili usijivishe uukawa wakati ndani yako ni gamba chakavu.
Mbona kama umepanic mkuu
Kwan kuna ubaya gani kujua hali ya jirani...
 
Waacheni Chadema nao wana Matatizo Yao ya ndani Mengi tu.
Angalau Mbowe kapunguza Ubabe na kaanza kusikiliza Wabunge wake kwny kurudi Bungeni na kufuta Maandamano japo katumia neno Viongozi wa dini badala ya Wabunge wenzangu
Lakini wao kama ukawa inabd washikamane katka hali zote mkuu
 
sio kuwakera tu,wana mpango mahususi wa kuiondoa UKAWA ktk ramani ya Tz..lakini ni ngumu kama kumeza chupa.
Ukawa tunawatakia mema ndo maana mnapokua na shida tunaguswa kuuliza kunaniiiiiiiii!!!
 
Back
Top Bottom